Mbuzi wa kishindana kwenye mbio za mbuzi zilizopewa jina la “blue smilerace” zilizodhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya simu za mikononi Tigo.
Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mikononi ya Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha mchango wa hisani kwa Meneja wa Mawasiliano wa CCBRT Bi.Alexandra Cairns kwenye mashindano ya mbio za mbuzi yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mikononi ya Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha mchango wa hisani kwa Makamu Mwenyekiti wa bodi ya Kituo cha kulea Watoto cha Cornel Ngaleku Dkt. Mary Mboya kwenye mashindano ya mbio za mbuzi yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments: