Mkurugenzi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, Abdullah Mwinyi (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu ufunguzi wao faya awali kwa umma ijulikanayo kwa kifupi (IPO) ambayo itakuwa na hisa za kawaida, 9,600,000. Kuliani Mkurugenzi Mtendaji wa Swala, David Mestres Ridge na Mkurugenzi Mkuuwa ARCH Financial $ Investment AdivisoryLimited, Iyen Nsemwa. (Na MpigapichaWetu)
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu ufunguzi wao faya awali kwa umma ijulikanayo kwakifupi (IPO) ambayo itakuwa na hisa za kawaida, 9,600,000. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa ARCH Financial $ Investment Adivisory Limited, Iyen Nsemwa. (Na MpigapichaWetu)
Toa Maoni Yako:
0 comments: