Ninafuraha sanaaa, napenda kumshuruku mwenyezi Mungu kwa siku ya leo, ni siku ambayo nilizaliwa, nimeweza kufikisha miaka kadhaa katika maisha yangu. Mungu ni mwema. Nawapenda sana watu wangu wote ambao mmekuwa pamoja na mimi. Happy Birthday to me.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

3 comments:

  1. HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA NA MWENYEZI MUNGU AKUJALIE KILA UTENDALO LIWE JEMA...UWE NA SIKU NJEMA.

    ReplyDelete
  2. hongera kwa siku yako ya kuzaliwa uzee huoooo

    ReplyDelete