Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiongea wakati wa uzinduzi wa
simu Nokia Lumia 620 , ushirikiano kati ya Airtel na Nokia
utakaowawezesha wateja wa Airtel na watanzania kupata simu ya Nokia
Lumia 620 yenye technologia ya kisasa na offa kabambe ya Muda wa
Maongezi wa dakika 275, sms bila kikomo na internet ya 3GB kwa muda wa
mienzi mitatu
Meneja Biashara wa Nokia Nchini Tanzania Samson Majwala, Afisa
Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde na meneja masoko wa Airtel Edwin
Byampanju kwa pamoja wakionyesha kipeperushi cha Nokia Lumia 620 wakati
wa wakati wa uzinduzi wa Nokia Lumia 620 kwa ushirikiano kati ya Airtel
na Nokia utakaowawezesha wateja wa Airtel na watanzania kupata simu ya
Nokia Lumia 620 yenye technologia ya kisasa na offa kabambe ya Muda wa
Maongezi wa dakika 275, sms bila kikomo na internet ya 3GB kwa muda wa
mienzi mitatu.
Toa Maoni Yako:
0 comments: