
Awali tulipendekeza michuano ya ngazi ya Taifa ifanyike katika vituo vya Arusha, Dar es Salaam na Mwanza, na baadaye fainali jijini Dar es Salaam. Mapendekezo hayo hayakuwezekana, hivyo ngazi hiyo itafanyika Kibaha na Dar es Salaam.
Baada ya hatua ya makundi, kutakuwa na hatua ya mtoano ya 16 bora ili kupata timu nane zitakazoingia robo fainali.
Toa Maoni Yako:
0 comments: