Program Manager wa Clouds Fm 88.4, Sebastian Maganga akihakikisha mabo yanakwenda sawa, pembeni yake ni Mtangazaji wa Clouds Fm, Philip Mhava.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Celine Kombani leo akizungumza kwenye kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam amewasisitiza wananchi kujitokea kwa wingi kutoa maoni yao katika kuundwa kwa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments: