
Katika matangazo ambayo yamekuwa yanakipita katika mitaa ya jiji la Mbeya kuwahamasisha wananchi kujitokeza kuhudhuria maadhimisho hayo yalisema kuwa katika maadhimisho ya kesho kutakuwa na maonyesho hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi kuhudhuria.
Kauli mbiu ya maadhimisho hayo 'SERIKALI IJALI HAKI ZA WAFANYAKAZI, ILI WASIJE WAKAWA WATUMWA NDANI YA NCHI YAO.
Toa Maoni Yako:
0 comments: