Kocha wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D (kushoto) akitoa maelekezo yaliyomo katika DVD yake ya mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa wadau wa mchezo huo kutoka kulia ni Saidi Chaku, Amri Masare, Zainabu Kiliware, Edson Joer na Antoni Ruta Dar es salaam leo ambapo VIDEO CD hizo zitapatikana kwenye mapambano yote ya ngumi nchini.
Home
Unlabelled
DVD YA SUPER D BOXING COACH KUSAMBAZWA KESHO UKUMBI WA PTA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: