Mkuranga, Septemba 6, 2025: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga kupitia CCM, Abdallah Ulega, amezindua kampeni zake leo kwa kuvutia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumshangilia.
Katika tukio hilo, Ulega alipiga picha ya selfie na wananchi, ishara ya mshikamano na mshikikiano na wapiga kura wake.
Wananchi walionesha hamasa kubwa, huku viongozi wa chama wakisisitiza mshikamanon na mshindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu ujao.










Toa Maoni Yako:
0 comments: