Kupitia programu ya Learning for Life, vijana wanapata mafunzo ya kina yatakayowawezesha kufanya kazi kwenye sekta ya utalii kwa weledi. Mafunzo haya yanalenga kukuza huduma bora kwa mgeni, mahusiano ya wateja, na uelewa wa tamaduni mbalimbali – stadi ambazo ni msingi wa mafanikio kwenye sekta ya utalii. Hii ni hatua madhubuti ya kuinua utalii wa ndani kwa kutumia nguvu kazi ya vijana.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI PICHA
HABARI ZA KIJAMII
Vijana wapatiwa mafunzo kupitia programu ya Learning for Life
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: