Mgeni rasmi Bi. Caroline Malundo (kushoto), Kamishna Msaidizi wa Kanda ya Mashariki akitoa zawadi kwa Mstaafu Bi. Bernadetha Kadala (kulia) wakati wa sherehe ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kamishna Msaidizi wa Kanda ya Mashariki Bi. Caroline Malundo (mwenye kipaza sauti) amewataka Wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS Women) kuendeleza Umoja na Mshikano wao ili waweze kusonga mbele kimafanikio.
Hayo ameyabainishwa na Bi. Malundo wakati alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe ya kuwaaga wastaafu Bi. Fabiola Msalale na Bernadetha Kadala ambao ni wanakikundi cha TFS WOMEN iliyofanyika makao makuu ya Wakala wa Huduma za Misitu jijini Dar es Salaam.
"Niwaombe ndugu zangu, umoja wenu ni mzuri sana na malengo yake ni mazuri hivyo basi niwaombe muendelee kushikamana ili muweze kusaidiana kusogeza mbele malengo yenu".
Mgeni rasmi Bi. Caroline Malundo (kushoto), Kamishna Msaidizi wa Kanda ya Mashariki akitoa zawadi kwa Mstaafu Bi. Fabiola Msalale (kulia) wakati wa sherehe ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wastaafu Bi. Fabiola Msalale (kulia) na Bi. Bernadetha Kadala (kushoto) wakiwa na nyuso za furaha wakati wa sherehe ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wastaafu Bi. Fabiola Msalale (kulia) na Bi. Bernadetha Kadala (katikati) wakikata keki ya kuagwa
Wastaafu Bi. Fabiola Msalale (kulia) na Bi. Bernadetha Kadala (katikati) wakisindikizwa na Mgeni rasmi Bi. Caroline Malundo (kushoto), Kamishna Msaidizi wa Kanda ya Mashariki huku wakuonyesha ishara ya kuaga wakati wa sherehe ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wastaafu Bi. Fabiola Msalale (kulia) na Bi. Bernadetha Kadala (kushoto) wakiwa na nyuso za furaha wakati wa sherehe ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wanachama wa kikundi cha TFS WOMEN
Burudani ilifana
Picha ya pamoja na wastaafu
Toa Maoni Yako:
0 comments: