Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa pamoja na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro leo tarehe 17 Agosti 2022 katika hafla ya kukabidhi Malori maalum kwa TANAPA yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwaongoza viongozi, maafisa , askari na wananchi mbalimbali kuimba wimbo wa Taifa mara alipowasili katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro leo tarehe 17 Agosti 2022 katika hafla ya kukabidhi Malori maalum kwa TANAPA yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: