Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega akiwasili katika Ofisi za Idara ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadiliana namna Idara hiyo inavyoweza kushirikiana na Wizara katika kukuza na kueneza matumizi ya lugha ya Kiswahili.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (kulia) akifafanua jambo kwa watendaji wa Idara ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam wakati alipoitembelea idara hiyo kwa lengo la kuona namna namna Idara hiyo inavyoweza kushirikiana na Wizara katika kukuza na kueneza matumizi ya lugha ya Kiswahili.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (aliyekaa mbele) akifafanua jambo kwa watendaji wa Idara ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam wakati alipoitembelea idara hiyo kwa lengo la kuona namna Idara hiyo inavyoweza kushirikiana na Wizara katika kukuza na kueneza matumizi ya lugha ya Kiswahili.
Mkuu wa Kitengo cha Pasipoti toka Idara ya Uhamiaji, Samwel Gambadu (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (hayupo pichani) wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea idara hiyo kwa lengo la kuona namna Idara hiyo inavyoweza kushirikiana na Wizara katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili.
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Consolata Mushi akifafanua jambo kwa watendaji wa Idara ya Uhamiaji (hawapo pichani) wakati Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (kulia) alipoitembelea idara hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuona namna Idara hiyo inavyoweza kushirikiana na Wizara katika kukuza na kueneza matumizi ya lugha ya Kiswahili.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega akionesha Kamusi kuu ya Kiswahili kwa watendaji wa Idara ya Uhamiaji (hawapo pichani) wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea idara hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuona namna Idara hiyo inavyoweza kushirikiana na Wizara katika kukuza na kueneza matumizi ya lugha ya Kiswahili.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (katikati) akimkabidhi Kamishna wa Pasipoti na Uraia, Gerald Kihinga (kulia) nakala ya Kamusi Kuu ya Kiswahili wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea idara hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuona namna Idara hiyo inavyoweza kushirikiana na Wizara katika kukuza na kueneza matumizi ya lugha ya Kiswahili, kushoto ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Consolata Mushi.
Kamishna wa Pasipoti na Uraia, Gerald Kihinga toka Idara ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam (kulia) akitoa neno la shukrani kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (kushoto) wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea idara hiyo mapema hii leo kwa lengo la kuona namna Idara hiyo inavyoweza kushirikiana na Wizara katika kukuza na kueneza matumizi ya lugha ya Kiswahili.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (wa tatu toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Idara ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo ya kuona ni kwa namna gani Wizara inaweza kushirikiana na Idara hiyo katika kukuza na kueneza matumizi ya lugha ya Kiswahili.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (kulia) akifafanua jambo kwa wajumbe wa menejimenti ya Taasisi ya Taaluma ya Lugha za Kiswahili (TATAKI)(hawapo pichani) wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea taasisi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili, katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye na kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma ya Lugha za Kiswahili Dkt. Ernesta Mosha.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma ya Lugha za Kiswahili (TATAKI) Dkt. Ernesta Mosha (kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (katikati) wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea taasisi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili, kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Consolata Mushi.
Mkurugenzi Mshiriki toka Taasisi ya Taaluma ya Lugha za Kiswahili (TATAKI), Dkt. Mussa Hans (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (kushoto) wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea taasisi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili, katikati ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Consolata Mushi.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma ya Lugha za Kiswahili (TATAKI) Dkt. Ernesta Mosha (kushoto) akitoa historia fupi ya taasisi hiyo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (katikati) wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea taasisi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili, kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Consolata Mushi.
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Consolata Mushi (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (katikati) wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea Taasisi ya Taaluma ya Lugha za Kiswahili (TATAKI) mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili, kushoto ni Mkurugenzi wa TATAKI, Dkt. Ernesta Mosha.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega akiangalia kamusi ya Kinyarwanda na Kiswahili wakati Naibu Waziri huyo alipoitembelea Taasisi ya Taaluma ya Lugha za Kiswahili (TATAKI) mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili.
Baadhi ya washiriki wa ziara ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (hayupo pichani) alipoitembelea Taasisi ya Taaluma ya Lugha za Kiswahili (TATAKI) mapema hii leo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Taasisi ya Taaluma ya Lugha za Kiswahili (TATAKI) mara baada ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM –Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments: