Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa amefanikiwa kuvua samaki aina ya Sangara Ziwa Victoria wakati wa ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikiwa na Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA Dkt. Allan Kijazi baada ya kuhitimisha ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwana samaki aina ya Sangara waliowavua Ziwa Victoria walipofanya ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: