Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Abebe Aemro Selassie alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 6, 2019

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Abebe Aemro Selassie alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 6, 2019.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Abebe Aemro Selassie kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 6, 2019.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Abebe Aemro Selassie na ujumbe wake pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpang, Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa palamagamba Kabudi na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto james na maofisa wa Wizara alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 6, 2019
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Abebe Aemro Selassie baada ya kukutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 6, 2019

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Abebe Aemro Selassie akiongea na wanahabari akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpang, Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na maofisa wa Wizara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 6, 2019. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: