Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Migori katika jimbo la Isimani mkoani Iringa wakati akielekea mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa Migori katika jimbo la Isimani mkoani Iringa wakati akielekea mkoani Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi pamoja na Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza ujenzi wa Kituo cha Afya cha Shilingi milioni 400 katika eneo la Migori mkoani Iringa.
Wananchi wa Migori wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza ujenzi wa Kituo cha Afya cha Shilingi milioni 400 katika eneo la Migori mkoani Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Iringa kuwashukuru wakati kabla ya kuelekea mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na machhifu wa Kimila wa mkoa wa Iringa mara baada ya kuwashukuru viongozi mbalimbali wa mkoa wa Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa ameshika Kitambulisho cha Mjasiriamali mdogo (Mmachinga) ambae amedai kuwa bado wanatozwa ushuru. Rais Dkt. Magufuli amepiga marufuku kudai ushuru kwa wafanyabiashara wote wenye vitambulisho hivyo ambao mtaji wao hauzidi Shilingi milioni 4. PICHA NA IKULU

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: