Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe.

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa na wananchi wengine akifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia na kuwashukuru wananchi wa Mbeya waliokusanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili.

Sehemu ya Wananchi wa Mbeya waliohudhuria Mkutano wa hadhara katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: