Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia wananchi wa Busokelo wilayani Rungwe katika mkoa wa Mbeya wakati sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika. Pamoja naye ni Mbunge na Waziri Mstaafu Profesa Mark Mwandosya na mkewe Mama Lucy Mwandosya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Busokelo wilayani Rungwe katika mkoa wa Mbeya wakati sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika. Pamoja naye ni Mbunge na Waziri Mstaafu Profesa Mark Mwandosya na mkewe Mama Lucy Mwandosya na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila (kulia).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mbunge na Waziri Mstaafu Profesa Mark Mwandosya na mkewe Mama Lucy Mwandosy baada ya sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga wananchi baada ya sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi eneo la Suma wakati akielekea kuuweka jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua pazia akisaidiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Kikusya-Ipinda-Matema yenye urefu wa Kilometa 39.1 ambayo itagharimu shilingi Bilioni 65.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila baada ya kuweka jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Kikusya-Ipinda-Matema yenye urefu wa Kilometa 39.1 ambayo itagharimu shilingi Bilioni 65
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Kikusya-Ipinda-Matema yenye urefu wa Kilometa 39.1 ambayo itagharimu shilingi Bilioni 65.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi na kusikiliza kero zao eneo la Tenende, Kyela, baada ya kuweka jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Kikusya-Ipinda-Matema yenye urefu wa Kilometa 39.1 ambayo itagharimu shilingi Bilioni 65.
Toa Maoni Yako:
0 comments: