Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza majina ya, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 13/08/18. PICHA NA IKULU.
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 13 Agosti, 2018 na kutangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi (PICHANI), Ikulu Jijini Dar es Salaam. SOMA ZAIDI HAPA CHINI



Toa Maoni Yako:
0 comments: