Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, akimvalisha Cheo cha Kamishna wa Polisi (CP) Alex S. Mkama, baada ya Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu kumpandisha cheo kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) kuwa Kamishna wa Polisi (CP) na kumteua kuwa Kamishna wa Polisi Jamii, hafla ya kumuapisha imefanyika Machi 26, 2026 Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI ZA KIJAMII
Rais Dkt. Samia Suluhu ampandisha Cheo kuwa Kamishna Wa Polisi (CP) Alex Mkama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Toa Maoni Yako:
0 comments: