Meneja Biashara wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Magreth Mambai (kushoto) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa mteja wa kampuni hiyo jijini Mbeya kwenye pikipiki ya Baraka Ramson (katikati) ikiwa ni mwendelezo wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja wa kampuni hiyo katika msimu huu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa!’.
Msimamizi wa Mauzo ya M-Pesa Vodacom Tanzania Kanda ya Nyanda za Kuu Kusini, Evelyne Mwinuka akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Mbeya kwenye bajaj ya Emmanuel Jacob (kushoto) ikiwa ni mwendelezo wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa!’.
Meneja mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc kanda ya kusini Baraka Musabila(kushoto) akimwekea mafuta mteja wa Vodacom Fadhili Tumaini (katikati).
Msimamizi wa mauzo M-Pesa Tanzania kanda ya kusini kutoka Vodacom Evelyne Mwinuka akimwekea mafuta mteja wa Vodacom Sharifa Shaban.
Afisa mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc kanda ya Kusini Brown msigwa (katikati) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Mbeya kwenye Bajaj ya Emmanuel Jacob (kulia).
Toa Maoni Yako:
0 comments: