Mkuu wa Idara ya Udhibiti Ubora wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo ) Joseph Nzige akitoa mafunzo ya uboreshaji wa mazingira ya mtoa huduma kwa dhana ya 5S-KAIZEN kwa Maafisa Tehama wa Hospitali hiyo,Picha na Hospitali ya Rufaa ya Bombo
Mkuu wa Idara ya Udhibiti Ubora wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo ) Joseph Nzige akitoa mafunzo ya uboreshaji wa mazingira ya mtoa huduma kwa dhana ya 5S-KAIZEN kwa Maafisa Tehama wa Hospitali hiyo, Picha na Hospitali ya Rufaa ya Bombo
Mkuu wa Idara ya Tehama wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga -Bombo William Masika wa kwanza kulia akiwa na maafisa tehama wengine wakifuatilia mafunzo hayo

Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia kwa umakini
Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia kwa umakini
Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia kwa umakini
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: