Mhandisi wa Vifaa tiba wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Mhandisi Gabriel Mringi kulia akitoa elimu juu ya Matumizi sahihi ya mitungi ya Oxygen kwa wagonjwa iliyokuwa ikitolewa kwa wauguzi na madaktari wakiwemo watoa huduma hospitalini leo kwenye hospitali hiyo lengo kuongeza ujuzi kwa watumiaji wa mitungi hiyo kwa wagonjwa
Home
AFYA
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI ZA KIJAMII
MADAKTARI, WAUGUZI WAKIWEMO WATOA HUDUMA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO WAPEWA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA MITUNGI YA OXYGEN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: