Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mheshimiwa Mwita Waitara amelipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa kuhakikisha wanakagua magari yote yaendayo mikoani na nchi mbalimbali kabla ya kuanza safari, Waitara amempongeza Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam ASP Ibrahim Samwix kwa kazi kubwa ya kukaguwa magari na kukoa maisha ya wananchi wanaotumia magari hayo.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mheshimiwa Mwita Waitara akiwasalimia abiria wanaosafari kuelekea mkoa wa Tanga ambapo abiria wameiponzeza serikari kupitia Jeshi la Polisu Usalama barabarani kwa kuendelea na ukaguzi wa magari yanayotoka kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi Luis jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam ASP Ibrahim Samwix akikaguwa gari kwenye umfumo wa breki za gari kabla halijaanza safari leo kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi Luis jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka)

Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam ASP Ibrahim Samwix (kushoto) akiendelea na kazi ya kuhakikisha abiria wanasafiri na gari ambaro liopo wasawa kwnye umfumo wa breki leo leo kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi Luis jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam ASP Ibrahim Samwix (kushoto)akiwaelekeza Askari wa Usalama Barabara namna ya kukaguwa gari kwenye injini kabla halijaanza safari leo kastika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi Luis leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka)

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mheshimiwa Mwita Waitara akiangalia orodha ya mabasi yaliyotoka kwenye kituo cha mabasi Magufuli Mbezi ambayo yamekaguliwa na kuruhusiwa kuendelea na safari, Katikati ni Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam ASP Ibrahim Samwix.

Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo Kkuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam ASP Ibrahim Samwix akikagua tairi ya moja ya basi linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza katika kituo Kikuu cha Mabasi cha Mgufuli leo ambapo amewaomba wamiliki wa magari kupeleka magali yao yakaguliwe kabla ya kubeba abiria ilikupunnguza usumbufu kwa abiria.
ukaguzi ukiendelea

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: