Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa Hadhara Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021.
Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro, wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akiwahutubia mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi. kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: