Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kabla ya kuondoka na kurejea Jijini Dodoma mara baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 2 ya kikazi mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 18 Oktoba, 2021 wakati akitokea Mkoani Arusha. PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: