Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akimkabidhi zawadi Mtoto Summayya Juma, aliyeshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) na Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, wakizungumza jambo wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, akimpongeza Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kulia), kwa jitihada za kuhamasisha elimu Jimboni kwake, wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma wakishuhudia mashindano ya kuhifadhi Qur'an Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments: