Meneja Mawasiliano wa LSF, Jane Matinde (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji ITV/Radio One Joyce Mhavile (kulia) machapisho yenye dondoo za utekelezaji wa mradi unaotarajia kuanza hivi karibuni wa kuwawezesha wananchi katika wilaya na halmashauri 170 Tanzania bara na Zanzibar kupata huduma za msaada wa kisheria bure.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI ZA KIJAMII
LSF KUTOA HUDUMA ZA MSAADA WA SHERIA WILAYA NA HALMASHAURI 170 TANZANIA BARA NA VISIWANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: