Rais wa Uswisi Mhe. Alain Berset akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Jumatano usiku wakati akijiandaa kuondoka kurudi nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake binafsi ambapo alitembelea hifadhi za Taifa na Zanzibar kwa muda wa wiki mbili akiwa pamoja na familia yake. PICHA NA IKULU.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
KITAIFA
UTALII
RAIS WA USWISI AONDOKA MARA BAADA YA MAPUMZIKO YAKE NCHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





Toa Maoni Yako:
0 comments: