Meneja wa Tigo kanda za nyanda za juu kusini, Davis Kisamo (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi kwa Abeid Bathromeo wa Ilula Iringa Mshindi wa shindano la mawakala la uwekaji miamala kwa wingi ndani ya mwezi mmoja kwenye huduma ya Tigopesa aliyeshinda zawadi ya shilingi milioni 2 mwishoni mwa wiki iliyopita.
Heriy Ngesi kutoka kyela Mbeya Mshindi wa shindano la mawakala la uwekaji miamara kwa wingi ndani ya mwezi mmoja kutoka kampuni ya Tigo Tanzania alkiibuka mshi wa Mil.1.
Washindi wakiwa katika picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments: