Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli akiwahutubia wajumbe wapatao 2356,ambapo walipaswa kuwa wajumbe 2380 mkutano Mkuu Maalum wa CCM ambao ulikuwa una lengo kuu la kufanya baadhi ya mabadiliko ndani ya Katiba,ambayo yamepitishwa kwa asilimia 100 na wajumbe hao waliohuhudria mkutano huo. PICHA ZOTE NA MICHUZIJR.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza mambo mbalimbali mbele ya wajumbe waliohudhuria katika Mkutano Mkuu Maalum mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa mkutano mkuu Maalum wa CCM wakishangilia kwa shangwe huku wakiwa na mabango yao yakionesha mikoa wanayoiwakilisha.
Malkia wa mipasho Afrika Mashariki Khadija Kopa akitunbuiza pamoja na bendi ya TOT kwenye mkutano huo.
Baadhi ya Wajumbe wa mkutsno mkuu wa CCM wakishangilia kwa shangwe huku wakiwa na mabango yao yakionesha mikoa wanayoiwakilisha.
Malkia wa mipasho Afrika Mashariki Khadija Kopa akitunbuiza pamoja na bendi ya TOT
Sehemu ya baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakiwa tayari ukumbini wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.
Sehemu ya baadhi ya wajumbe wa mkutano huo pamoja na wageni waalikwa
Sehemu ya baadhi ya wajumbe wa mkutano huo pamoja na wageni waalikwa
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Kasim Majalia wakati akiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa CCM, Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete wakati akiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa CCM, Mjini Dodoma
Wake za viongozi,pichani kulia ni Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama Mwema Shein wakijadiliana jambo kabla ya Mkutano Mkuu Maalum kuanza mapema leo katika ukumbi wa Kikwete,mjini Dodoma.
Baadhi ya Wake za viongozi mbalimbali wakifuatilia mkutano huo
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wastaafu wa Serikali na kichama walipowasili kwenye ukumbi wa mkutano na kukaribishwa na wajumbe.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka mkoa wa Tanga wakifuatia yaliyokuwa yakijiri ukumbi humo.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kutoka mkoa wa Lindi. Kulia ni Mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na Mbunge wa Mtama, Mh. Nape Nnauye wakifuatilia mkutano huo
Sehemu ya wajumbe hao wakifuatilia Hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli (Hayupo pichani)
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Joseph Magufuli akihutubia mkutano huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: