Mama wa Mch.Mwl. Christopher Mwakasege amefariki dunia Siku ya Jumanne asubuhi, tarehe 7/03/2015. Siku mbili baada ya semina kuanza.
Hivyo Mungu akaendelea kumpa kibali kuendelea kuchapa injili ili watu waokolewe, na mpaka siku ya Jana Jumapili Machi 12, 2017 ndio ilikuwa hitimisho ya Semina la Neno la Mungu Viwanja vya Kawe - Tanganyika Perkars na ndipo Mtumishi (kuani) Mwl. Christopher Mwakasege kutangaza baada ya siku sita kuisha na baada ya semina kuisha jana, kuwa Mama yake mzazi amefariki.
Hivyo ukiwa kama Ndugu, Jamaa, Rafiki nakuomba tuungane siku ya leo kuuaga mwili wa marehemu (mama yetu) apumzike salama katika nyumba yake ya milele.
Mahali ni mbezi beach KKKT karibu na kituo cha Tankbovu.
Muda ni saa 8:30 mchana.
Fika bila kukosa wana wa Mungu kwa maana hatujui siku wala saa.
Amen.
Toa Maoni Yako:
0 comments: