Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika ibada ya mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo la Tunduru/ Masasi, Magnus Mwalunyungu yaliyofanyia kwenye kanisa la Tosamaganga mkoani Iringa Februari 20, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Ngalalekumtwa (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza baada ya mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo la Tunduru Masasi, Mhashamu Magnus Mwalunyungu yaliyofanyika kwenye Kanisa la Tosamaganga mkoani Iringa Februari 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: