101_0044Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Mh.Stephen Masele pichani chini na chini wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la St.Joseph Mfanyakazi maeneo ya Olasiti jijini Arusha leo (Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha) 101_0052Mh.Stephen Masele pichani akiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la St.Joseph Mfanyakazi maeneo ya Olasiti jijini Arusha leo (Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha) 101_0057Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal akiwafariji majeruhiwa milipuko ya bomu jijini Arusha leo kulia ni Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Tanzania Askofu Dk Alex Malasusa na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Assah Mwambene 101_0065Makamu wa Rais Dk. Gharibu Bilal akimsikiliza Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Tanzania Askofu Dk Alex Malasusa akizungumza katika matukio hayo kusho wakati akizungumza na majeruhi na wafiwa waliopteza ndugu katika milipuko ya mabomu iliyotokea leo jijini ArushaMajeruhi wakihangaika huku na kule mara baada ya kutokea kwa mlipuko katika kanisa la Katoliki jijini Arusha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: