Mtangazaji wa Channel Ten, Boniphace Magupa na mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzaniani Jesy Levidiva (Jessica Honore) wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kufunga pingu zao za maisha mjini Shinyanga mwishoni mwa wiki iliyopita.

Jessica Honore ni mtalaamu wa kufanya Jingles (matangazo redioni), na alishafanya jingles nyingi katika kituo cha radio cha Clouds FM. Ni mjasiliamali na mtumishi wa Mungu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: