Napenda kutoa shukrani zangu za pekee kwa mke wangu mpendwa Ester Ulaya Cathbert kwa kunipatia zawadi ya keki (jana ambayo ilikuwa ni siku yangu ya kuzaliwa) ambayo alinipa kwa msangao ambao ulisimamiwa na rafiki yangu Angella Michael Msangi. Nashukuru sana sina cha kukupa zaidi ya kuwashukuru na ninawaombea wote kwa mwenyezi Mungu awape maisha marefu.
Kwa yeyote mwenye sherehe unaweza kupata keki kama hii kwa kupiga simu namba; 0782297408 ulizia Angella Msangi.
Muonekano wa upande.
Nice cake. Angela namuaminia. Hongera kwa kuzaliwa CA
ReplyDelete