Warembo wa Miss Tanzania 2011 wakipokelewa na Mkurugenzi wa mashindano ya miss Tanzania 2011 Hashimu Lundenga akiwa pamoja na Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba.
Mrembo wa Miss Tanzania 2011 akiongea na Mkurugenzi wa mashindano ya miss Tanzania 2011 Hashimu Lundenga akiwa pamoja na Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba.
Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiongea na warembo wa Miss Tanzania 2011 wakati wa uzinduzi wa jumba la Vodacom Miss Tanzania 2011.

Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jumba la Vodacom Miss Tanzania litatumika katika kipindi chote cha warembo wakiwa kambini. Kulia ni Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandaaji wa Vodacom Miss Tanzania, Hashim Lundenga.
 
Mmiliki wa blog hii Bw. Cathbert akiwa na Lulu, Linah pamoja na mtangazaji wa Clouds Fm Dina Marious. 

Warembo wakijiachia ndani ya jumba lao.
Warembo wakijiachiaaaa!!
Mkurugenzi wa Lino International Agency, mwaandaaji wa Vodacom Miss Tanzania, Hashim Lundenga akibadirisha mawazo na waandishi wa habari na watangazaji mara baada kumaliza uzinduzi.
Watangazaji wa Clouds Fm Dina Marious, Dina Marous na Arnold Kayanda wakibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Lino International Agency, mwandaaji wa Vodacom Miss Tanzania, Hashim Lundenga.
 
Afisa Huduma na Mawasiliano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi akiteta jambo na mtangazaji wa Clouds Fm Adamu Mchomvu.

Mshereheshaji wa sherehe hiyo, Evance Bukuku aijaribu kuongea na mrembo wa Miss Vodacom.

Warembo wakijimwaga!!!
Warembo wakipata chakula!!!
Sura za tabasamu kutoa kwa warembo.

Hata sisi tulikuwepo...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: