Mtaalam wa viwango kutoka Tigo Pamela Shellukindo (kushoto) akimkabidhi Nassoro Muharam (Kulia) mfano wa hundi ya Tsh. Milioni tano mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Afisa wa Tigo Tawonga Mpore.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. tigo weziiiiiiiiii wakubwa hawana lolote mchanga wa macho huo hakuna cha milioni tano wala nini? hata ukitaka nakupa ushahidi ankal... ni deal wanacheza na hao watu wanaokuja kuchukua cheque. loh dhambi kama nini wanafanya wajinga kabisa

    ReplyDelete