Bi. Rahma Al-Kharoosi, wa pili toka kulia akikabidhi kombe la Kamishna Mussa wa Polisi Zanzibar kwa Viongozi wa Serikali Kisiwani Pemba. Kushoto ni Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba ACP Saleh Mohammed Salehe wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Bi. Mwanajuma Magid Abdul na kulia kabisa ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kusini ACP Hassan Nassir.
Mchezaji wa Timu ya Shehia ya Makombeni Kusini Pemba Salehe Omar Othuman, aliyechaguliwa kuichezea timu ya daraja la kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara African Lyion, baada ya kuonyesha umahili mkubwa katika soka wakati wa fainali wa Kombe la CP Mussa wa Polisi Zanzibar kanda ya Pemba. RPC Kusini Pemba ACP Hassan Nassir akikabidhi kombe la mshindi wa polisi wa michuano hiyo Timu ya Kizimkazi Kaskazini Pemba. 


(Picha na Insp. Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi.)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: