Damu nzito kuliko maja bondia mkongwe Rashidi Matumla (kulia) akimpatia maelezo mdogo wake Mbwana Matumla wakati wa pambano lake la kutetea Ubingwa wa UBO lililofanyika Dar es salaam jana Mbwana alishinda kwa point na kutetea vema taji lake kushoto ni kocha Habibu Kinyogori.
Bondia Mbwana Matumla (kulia) akipambana na Gabriel Ochueng wa Kenya wakati wa pambani lake la kugombania ubingwa wa UBO Mbwana alishinda kwa pointi wakati wa pambano ilo la ubingwa wake lililipigwa raundi 12 na kufanikiwa kumnyuka mkenya huyo.(Picha na Mpigapicha wetu)

Toa Maoni Yako:
0 comments: