Askari wa barabarani akihakikisha usalama wa wanajenzi hao.
Hatimaye yale mahandaki yaliyokuwa katika ya barabara ya Morogoro kwenye mataa ya Ubungo jijini Dar es Salaam yamezibwa, pichani kama unavyowaona mafundi kutoka Tanroad walivyonaswa ya kamera yetu wakiweka viraka, hali ambayo imeshababisha foleni sana. Kazi kama hizi ni vyema kuzifanya wakati wa usiku ili kuepusha msongamano wa magari.
Toa Maoni Yako:
0 comments: