Hapa ni sehemu maarufu Usangi inayoitwa Usangi Store na kama unaenda Hospitali Kuu ya Wilaya, Usangi hospitali ni lazima upite hapo.Soko la Usangi.Vibao.Shule ya sekondari ya Wasichana Usangi.Madhari nzuri ya muonekano wa mji wa Usangi, Mwanga Kilimanjaro. (Picha zote kwa hisani ya Pare Tribe waliopo FB)
Home
Unlabelled
JIONEE MADHARI YA MJI WA USANGI, MWANGA KILIMANJARO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: