"BONANZA LA EID" katika kusheherekea sikukuu ya IDI MOSI, FLAVANITE inakualika na kusherekea pamoja kwa staili ya tofauti na ndiyo maana MAYENU yatatawala yakiporomoshwa na dj MACKAY & dj BONILUV.

Na hii lazima utakumbuka kipindi kileee MUZIKI ulipokuwa MUZIKI si unakumbuka enzi za disco lilipokuwa PINC COCONUT na TAZARA wote watakuwepo kwanini WEWE ukose,utajutaaaaaa...

Mambo yose yatakuwa IDI MOSI pale pale pa jana.... MZALENDO PUB Millennium tower Kijitonyama.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: