Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,DK Amani Abeid Karume,akisalimiana na Balozi wa Norway Nchini Bwana Jon Lomoy,Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,DK Amani Abeid Karume,akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Frelimo Nchini Msumbiji Bibi Nyeleti Eduardo Mondlane aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,DK Amani Abeid Karume,akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Lawrence Masha na Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema. Walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: