Articles by "TEKNOLOJIA"
Showing posts with label TEKNOLOJIA. Show all posts
Benki ya CRDB kumtunuku mteja Ford Ranger, yazindua kadi za TemboCard
Katika kuendeleza hamasa ya matumizi ya kadi kwa wateja wake na Watanzania kwa ujumla, Benki ya CRDB imepanga kumzawadia mteja atakayekuwa na matumizi makubwa ya kazi...
PURA ENDELEENI KUWAVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SHUGHULI ZA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI- KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli( PURA) wakati wa Kikao cha...
VODACOM YAWAPA WASICHANA DAR ES SALAAM MAFUNZO YA TEHAMA KUPITIA PROGRAM YA 'CODE LIKE A GIRL'
Mtaalamu wa mifumo ya kompyuta wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Naamini Yonazi akiongea na wasichana wanaofanya mafunzo ya Code like a Girl yanayofadhiliwa na kampuni...
 UNDP, VODACOM, COSTECH WATANGAZA KUSHIRIKIANA KUENDELEA KUIMARISHA BUNIFU
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Phillip Besiimire (kushoto), Mkurugenzi wa Kituo cha Uendelezaji na Uhawilishaji wa Teknolojia, Dkt. Athman Mgumia (kati)...
Vodacom yapewa tuzo kwa Kujitolea katika Sekta ya TEHAMA
Mkuu wa Idara ya Mkakati wa TEHAMA na Uhandisi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC Cleopatra Mukangara (kushoto), akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Chama...
MultiChoice, Vodacom Tanzania Wazindua Showmax Tanzania
Dar es Salaam, Tanzania, 25 Novemba 2024 – MultiChoice Tanzania imetangaza ushirikiano na Vodacom Tanzania PLC, kampuni inayoongoza katika mawasiliano ya simu nchini,...
Vodacom Tanzania na UDSM Zaungana Kuwezesha Kizazi Kijacho cha Wataalamu wa Usalama wa Mtandao (Cyber Security Experts)
Mkuu wa Idara ya Usalama wa Mtandaoni kutoka Vodacom Tanzania Plc Bw. Joel Kazoba akizungumza katika uzinduzi wa klabu ya usalama wa mitandao uliofanyika katika Chuo...
TCRA yawahimiza vijana kuchangamkia fursa za kidijitali
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewahimiza vijana nchini kuchangamkia fursa za kidijitali ikiwemo akili bandia (Artificial Intelligence), kwa kubuni mifumo itakayotatua...
Page 1 of 151234567...15Next »Last