TANZANIA YASAINI MKATABA MPYA WA USAFIRI WA BAHARINI WA AFRIKA KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRIKA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini rasmi Mkataba Mpya wa Usafiri wa Baharini wa Afrika wa mwaka 2010, hatua muhimu inayoashiria kuimarika kwa dhamira yake ya kushiriki...