Articles by "KITAIFA"
Showing posts with label KITAIFA. Show all posts
DKT. KIKWETE AWASILISHA UJUMBE WA RAIS DKT SAMIA SULUHU CONGO BRAZZAVILLE
Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo...
TANZANIA YASAINI MKATABA MPYA WA USAFIRI WA BAHARINI WA AFRIKA KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRIKA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini rasmi Mkataba Mpya wa Usafiri wa Baharini wa Afrika wa mwaka 2010, hatua muhimu inayoashiria kuimarika kwa dhamira yake ya kushiriki...
JK AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MPYA WA NAMIBIA NETUMBO NANDI-NDAITWA
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, alikuwa miongoni mwa wageni mashuhuri waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mpya...
RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE ZIARANI JAPAN: KUKUTANA NA VIONGOZI, KUSUKUMA AJENDA YA ELIMU
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Fedha wa Japan, Mhe. Shin-ichi Yokohama,jijini Tokyo.Na Mwandishi Wetu.Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,...
RC TANGA ALIPONGEZA SHIRIKA LA TASAC KWA UTOAJI WA ELIMU JUU YA MADHARA YA UCHAFUZI WA MAZINGIRA YA BAHARI
Na Oscar Assenga,TANGA.SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limepongeza kutokana na juhudi zake kubwa za kutoa elimu kwa wananchi wakiwemo wadau mbalimbali juu...
Serengeti Breweries Limited (SBL) Yatambuliwa Katika Tuzo za Rising Woman kwa Kukuza Usawa wa Kijinsia
Mwenyekiti wa Bodi ya Mwananchi Communications Ltd, David Nchimbi (wa tano kutoka kulia) akimkabidhi tuzo Elizabeth Muro (kushoto), Mkurugenzi wa Sheria na Uadilifu...
RAIS SAMIA: TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA USAWA WA KIJINSIA Saturday, March 08, 2025
Na Mwandishi Wetu.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kupitia...
Page 1 of 661234567...66Next »Last