Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi. Zuweina Farah, akizungumza wakati wa uzinduzi wa msafara wa Vodacom Twende Butiama kwa mwaka 2025. Kushoto...
Articles by "HABARI"
Showing posts with label HABARI. Show all posts
Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo...
Na Mwandishi Wetu.Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utafanyika sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia tarehe...
Na Oscar Assenga, Tanga.Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tanga, Shabani Hamisi, amemshukuru Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, kwa kuandaa mashindano...
Na Hadija Bagasha Korogwe, Tanga.Baadhi ya wananchi wanaoishi Wilayani Korogwe Mkoani Tanga wamesema wanaokabiliwa na Changamoto mbalimbali ikiwemo za Ardhi, Mirathi,...
Lagos Nigeria - Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation na Mkurugenzi wa MahusianowaBenki ya CRDB Bank, Tully Esther Mwambapa, ametajwa kuwa Kiongozi Anayeongoza...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akisaini maadili ya Uchaguzi kwa niaba ya Tume.Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu...
Subscribe to:
Posts (Atom)