.jpeg)
Dar es Salaam - Mei 4, 2026
Hati ya makubaliano ya mashirikiano ya kuwajengea uwezo watumishi wa umma wa Tanzania na Kenya imesainiwa kati ya Dkt. Ernest Francis Mabonesho, Mtendaji Mkuu na Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, na Prof. Nura Mohamed, Mkurugenzi Mkuu wa Shule ya Serikali Kenya (Kenya School of Government), mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto.
Hafla hiyo imefanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 4 Mei 2026.



Toa Maoni Yako:
0 comments: