Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
KITAIFA
MAMA SAMIA SULUHU
Rais Samia kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Museveni, Uganda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





Toa Maoni Yako:
0 comments: